Accueil Podcasts Jua Haki Zako
Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

RFI Kiswahili 24 Épisodes sept. 14, 2026

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Inashughulikia masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Épisodes

Kenya : Raia wa Burundi waondoka
Kenya : Raia wa Burundi waondoka sept. 14, 2026 00:09:37 Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya
Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi
Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi août 31, 2026 00:09:07 Nchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi. Skiza makala haya kufahamu mengi.
DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini
DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini août 25, 2026 00:09:42 Raia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni
Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni août 3, 2026 00:09:57 Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18. Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado hukumban
Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya
Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya juil. 28, 2026 00:10:02 Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile  Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali  . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na w
Kenya: Mawakili waandamana kudai haki
Kenya: Mawakili waandamana kudai haki juil. 13, 2026 00:10:00 Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.
Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher
Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher juil. 12, 2026 00:09:57 Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher. Skiza makala haya kufamu mengi
Haki za wakimbizi awamu ya pili
Haki za wakimbizi awamu ya pili juil. 10, 2026 00:10:01 Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili  Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki  hizo. Skiza kufahamu mengi.
EAC : Haki za wakimbizi duniani
EAC : Haki za wakimbizi duniani juin 22, 2026 00:09:54 Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya
Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya juin 10, 2026 00:10:04 Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja. Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mwende.
Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti
Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti juin 8, 2026 00:09:20 Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki. wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa. Skiza makala haya kufahamu mengi
KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare
KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare mai 30, 2026 00:09:57 Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye anapigania hazi za waathiriwahawa katika mtaa wa Mathare Bi. Beatrice Karore.

Recommandé