Accueil Podcasts Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili 24 Épisodes sept. 19, 2026

Nyumba ya Sanaa ni makala ya utamaduni inayowapa wasanii na wadau wa sanaa fursa ya kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya Afrika na dunia. Inalenga kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni, kwa kuzingatia maisha ya kisasa na utandawazi.

Épisodes

Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly
Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly sept. 19, 2026 00:20:02 Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa. 
Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi
Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi sept. 5, 2026 00:20:03 Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.
Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo
Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo août 22, 2026 00:20:01 Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban
Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban août 15, 2026 00:20:13 Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.
Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts
Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts août 8, 2026 00:20:02 Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.
Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi
Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi août 1, 2026 00:20:00 Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.
Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster
Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster juil. 25, 2026 00:20:02 Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu headmaster ni msanii wa sanaa ya ucheshi.
Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania
Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania juil. 25, 2026 00:20:02 Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu Headmaster ni msanii wa sanaa hiyo Ungana na Steven Mumbi akizungumza na msanii huyo.
Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC
Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC juil. 18, 2026 00:20:14 Nyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben Lukumbuka anazungumza na msanii wa muziki za kilega, kutoka mjini Goma huko mashariki mwa Jamahuri ya kidemokrasia ya Congo Ngolis Mwindulwa Ngoma
Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa
Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa juin 27, 2026 00:20:07 Wiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa
Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio
Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio juin 13, 2026 00:20:04 Joseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.
Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala
Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala juin 6, 2026 00:20:08 Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.

Recommandé